Tuesday, October 22, 2013

MSANII ALIYEKUWA ANATEMBEA NUSU UCHI HUKO NJE YA NCHI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfIqg2B7k9QtKCUgpgpuM3O5arDfShP-ijIlt4wy1GlSoW8ZQm5iIsDPgTyTAuHopREMiki9iYUintHX4aEABTOhuokG8JGYn2213-WKLHrBuYFTMzk_di_NnoDNDwwN3wNjJxa00qW0FX/s640/JACKDASTAN2.png

Saturday, October 19, 2013

MAMA NI MAMA TU

MPENDE MAMA UPATE BARAKA ZA DUNIANI MJARI NA NAKUMUHESHIMU MAMA YAKO

MUHIMU KWA WENYE BLOG WOTE

Habari... Kama Tulivyohaidigi kwa wengi kwamba tutawaonesha jinsi ya kufanya Blogs/Website zao ziweze kuonekana Google kwaurahisi basi tumeamua mafunzo haya tusitoe kwa watu wachache tuu bali tuitoe hewani ili iweze kuwa manufaa kwa bloggers wote.. Somo hili la leo kwa kiingereza linaitwa Search Engine Optimization (SEO) sasa sijui kwakiswahili tukifupisha tutaitaje..lol SEO nisomo pana sana tena sana ambalo kila blogger anahitaji kulijua.. usione blogs kama BONGOCLAN inatembelewa sana ukajiuliza inakuaje nayako haitembelewi hivyo.. Kipindi nilipokuwa na blog ya MOLLELPIXELS hivyi ndivyo nilivyokuwa ikitembelewa kwakila dakika.. Mafundisho haya nitayatoa kupitia mifano ya blog ya BONGOCLANTZna NYUMBAYAHABARI Sasa Tuanze somoletu rasmi kwakuangalia kipengele cha kwanza.. 1.SUBMIT YOUR BLOG TO SEARCH ENGINES Nimeshindwa kuielezea hiko kichwa vizuri lakini nitakifafanua vizuri hapa search engine nini search engine ni sehemu yeyote ile inayohiska kuhifadhia maelezo katika intaneti yani kuhifadhia online mfano w

KUPENDA KWELI MAJANGA

Kuna demu mm0ja kamaliza chuo keshe saa ndo kaja hapa tz na yupo hapa mtaa wa tatu...yani mzuri sijapata ona yani ukamwangalia kasura kaa ka mtoto iv.,kiuno kaa kichuguu kilichoota miaka kadhaa iliyopia na mguu wenyewe wa wine..hips utafikiri mashavu ya tom na jery dah anabamba sana pande iz.. Cha ajabu masela wamegoma kumpandia wanamw0gopa et mtoto wa kishua sana af et hawajui kiulaya dah mpaka akawa anajihisi hajakamilika...juzi npo zangu kibalazan nachat chat fb npo kitumbo nje mara nkaona toto hilo lapita dah kiukweli nilimfata hadi kene kona na nkapata sikia akimuuliza rafik ake kwamba amebuma hajapata boy na vile ana miaka hajakwea mnaz dah nilifurahi vibaya mn0 nkajua hapa kido nshapata ki2 kipo hewani ngoja nkakidabue.... Nilirudi fasta nyumbani nkamtegeshea bro kamsindikiza shem nkaingia chumban kwake nkachukua jeans lake la id na mtisheti wake hule mzuri kisha nkaangalia ustaharabu nkachukua beg lake la chuo nkapitia mlango wa nyuma fasta nkaelekea kwa msela wangu nkaazma laptop chini nka2pia supla

Friday, October 18, 2013

MAHUSIANO YA MAPENZI

Wasichana wanafunzi wananichanganyasana SWALI Anko mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapenda wasichana ambao ni wanafunzi. Nasema hili ni tatizo kwa sababu hisia zangu za mapenzi haziko kwa wasichana wa kawaida mtaani. Mimi Anko nikiwaona wasichana hasa wakiwa na sare yaani nachanganyikiwa kabisa. Naomba ushauri wako. JIBU Ushauri wangu wa kwanza ni kwamba acha kufanya mapenzi na wanafunzi ni hatari na hasa wale wenye umri mdogo kwani ikibainika adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela. Kuhusu kuchasnganyikiwa unapowaona, hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na kinasa hisia chako kulewa aidha udanganyifu kutoka kwa watu wako wa karibu au maumbileyaokukuvutia. Hapa ingekuwa vemakamaungepata muda unione ili nizungumze nawe uniambie,ili mwanamke akuvutie awe na sifa gain? Maana inawezekana kinachovuta hisia zako ni ‘matiti saa sita’ na sura za kitoto, hivyo huwezi kuwapenda wasichana ambao hawana sifa hizo mpaka utibiwe athari hiyo ya kisaikolojia. Lakini pia

TOA USHAURI WAKO

Natafuta njia ya kuachana naye SWALI Swali langu kwa Mshauri ni kwamba, mimi ni msichana ambaye nina mpenzi wangu niliyempa moyo wangu wote kwa kumwamini kuwa atakuwa mume wa maisha yangu. Lakini siku za hivi karibuni amebadilika, mara nyingi nimefuma meseji za mapenzi kwenye simu yake na wakati mwingine nimemuona laivu. Naumiasanalakini nashindwa kumuacha kwa sababu nampenda, mshauri nisaidie njia ya kumwacha mwanaume huyu ataniua bure. JIBU Kitaalamu mwanzo wa mapenzi huwa ni rahisi kuliko mwisho wake. Hii inatokana na ukweli kwamba mapenzi ni sawa na ulevi ambao mtu akiuzoea ni vigumu kuuacha kwa mara moja, ndiyo maana tunaona watu wanateswa lakini wanashindwa kuamua kuachana na wapenzi wao kwa sababukamahizo zako. Sasa ili mtu afikie uamuzi wa kuachana na mtu aliyekuwa nayekamampenzi kwa miaka mingi lazima ajue kanuni, vinginevyo moyo hautakubali.