Friday, October 18, 2013
MAHUSIANO YA MAPENZI
Wasichana wanafunzi wananichanganyasana
SWALI
Anko mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapenda wasichana ambao ni wanafunzi. Nasema hili ni tatizo kwa sababu hisia zangu za mapenzi haziko kwa wasichana wa kawaida mtaani. Mimi Anko nikiwaona wasichana hasa wakiwa na sare yaani nachanganyikiwa kabisa. Naomba ushauri wako.
JIBU
Ushauri wangu wa kwanza ni kwamba acha kufanya mapenzi na wanafunzi ni hatari na hasa wale wenye umri mdogo kwani ikibainika adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela.
Kuhusu kuchasnganyikiwa unapowaona, hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na kinasa hisia chako kulewa aidha udanganyifu kutoka kwa watu wako wa karibu au maumbileyaokukuvutia.
Hapa ingekuwa vemakamaungepata muda unione ili nizungumze nawe uniambie,ili mwanamke akuvutie awe na sifa gain? Maana inawezekana kinachovuta hisia zako ni ‘matiti saa sita’ na sura za kitoto, hivyo huwezi kuwapenda wasichana ambao hawana sifa hizo mpaka utibiwe athari hiyo ya kisaikolojia.
Lakini pia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment