Mapenzi ya sasa yamejawa na tamaa sana ya pesa kwa hiyo hizi ndizo stage za kumteka mwanamke
step 1: Kumpa vizawadi kila ifikapo wikieni,ukiwa hivyo utasababisha mpenzi wako hakuamini xana
step 2 : kumtoa out ifikapo wikiend,hii ni hatua nzuri ya kumfanya mpenzi wako ajione mwenye bahati ya pekee sana
step 3 : kumpa maneno matamu na malaini,mwanaume ukimwambia mwanamke maneno matamu xana hatajiona mwenye amani ktk moyo
No comments:
Post a Comment