Monday, October 14, 2013

WANAWAKE WA FACEBOOK JINSI WANAWATEKA WANAUME

Omy : mambo binti : poa nambie wewe omy : kwangu mzima xana 2 na ni amani kwa xana binti : omy me nashida ya elfu hamsini je unaweza nisaidia jamani mpenzi omy : mmmh sijakuelewa jamani unamaanisha wewe binti : nataka unipe 50000 maana chuo kwe2 bumu alijatoka omy : haya mamii chukua hii 51000 jamani mi na wewe tena ni kama pete na kidole binti : omy unautani me kweli nashida na iyo pesa maana nimefulia hata sina chakufanya mpenzi omy : ooh mpenzi tena majanga hayo wacha wewe binti : omy jamani si nimekupenda ghafla tu mwenzio ebu nawe kuwa serious basi omy : we we we we hatar iyo me ninae huwa ananionga yeye elfu za vocha kila day sasa wewe unataka nikuonge wewe tena mmmh BINTI : kumbe we mwanaume suruali 2 eti eeeh OMY : we je mwanamke sketi maana sikusomi unijui unakurupuka 2 nikupe 50000 elfu me nachimba BINTI : hata elfu 5000 mpenzi wangu omy nitumie tu KIMYA OMY KAINGIA MITINI HADI SAIVI SIJUI YUKO WAPI AU SIJUI KAENDA KUBOMOA KIBOX HAPANA JUA HIYO

No comments:

Post a Comment