Monday, October 14, 2013

KUPENDA KWELI HATARI SANA

ebu chukua hii nimetoka zangu kwa mchizi wangu axubuhi kumwangalia maana jana alifanywa kitu mbaya kidogo kisa mwanamke basi nikawa namuuliza kwa nini umepigwa hadi umevunjwa mkono wangu BASI AKANIJIBU HIVI MCHIZI : Omy me yule mwanamke nampenda hata kama nimepigwa hivi na huyo braza yake sitoweza kumuacha bora hata aniue 2 nakwambia hivyo omy OMY : wangu xaxa mbona utaumia xana mbona wanawake wapo wengi tena wakali kila day wanaibuka tuu humu mtaani na mwanamke mwenyewe yule wakasoma uoni kama msala huo kaka MCHIZI : omy we fala eti nimekwambia siwezi kumuacha au unanionea wivu unataka kumchukua wewe toka home kwangu omy sitaki kukuona tena kumbe we boya 2 niaje na urafiki uishe au sio OMY : sio hivyo ila poa utanifuata one day na utapigika xana si unamcheki kaka ake mwenyewe bangi m2pu kichwani mule MCHIZI : toka omy niseje nikakuchoma kisu dogo au nikakuumiza NILISEPA DUUH BILA KUANGALIA NYUMA EBU NIAMBIE KUNA NENO BAYA KWELI NILIMWAMBIA PALE

No comments:

Post a Comment