Thursday, October 17, 2013

TOA USHAURI WAKO KWA HILI

MKALI naomba share na watu wako ishu hii ili nipate ushauri ila FICHA BARUA PEPE KAMA KAWAIDA-INBOX KUNA MAMBO WADAU "Naitwa Vivian nipo chuo mwaka wa pili. Nna rafiki yangu mmoja ambaye nipo nae chuo ambaye ni family friend wetu maana parents wake na wangu wana ukaribu since muda mrefu kidogo. Huyo Baba wa best yangu aliwahi kunitokea kipindi cha nyuma na alikuwa akinipa zawadi za gharama sana ikiwemo laptop na simu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwangu chuoni ingawa rafiki yangu hajui kuhusiana na hilo. So ili kuzidisha ukaribu wa family zetu nikaona sikuona sababu ya kumnyima ila nilimuomba tufanye kwa siri sana ili tusije gundulika, na hadi leo tunaendeleza uhusiano wetu. Sasa juzi wakati nipo nae hotelini wakati amekwenda kuoga nikachunguza simu yake nikakuta picha za mama yangu akiwa kapiga nae faragha na jumbe nyingi za kimapenzi walizochat kupitia WhatsApp, Viber na sms. Kitendo cha Mama yangu kumsaliti baba yangu, na pia kutaka kunipokonya bwanaangu kimeniuma sana sio siri. Naomba mnishauri cha kufany

No comments:

Post a Comment