Saturday, October 19, 2013
MUHIMU KWA WENYE BLOG WOTE
Habari...
Kama Tulivyohaidigi kwa wengi kwamba tutawaonesha jinsi ya kufanya Blogs/Website zao ziweze kuonekana Google kwaurahisi basi tumeamua mafunzo haya tusitoe kwa watu wachache tuu bali tuitoe hewani ili iweze kuwa manufaa kwa bloggers wote..
Somo hili la leo kwa kiingereza linaitwa Search Engine Optimization (SEO) sasa sijui kwakiswahili tukifupisha tutaitaje..lol SEO nisomo pana sana tena sana ambalo kila blogger anahitaji kulijua.. usione blogs kama BONGOCLAN inatembelewa sana ukajiuliza inakuaje nayako haitembelewi hivyo..
Kipindi nilipokuwa na blog ya MOLLELPIXELS hivyi ndivyo nilivyokuwa ikitembelewa kwakila dakika..
Mafundisho haya nitayatoa kupitia mifano ya blog ya BONGOCLANTZna NYUMBAYAHABARI
Sasa Tuanze somoletu rasmi kwakuangalia kipengele cha kwanza..
1.SUBMIT YOUR BLOG TO SEARCH ENGINES
Nimeshindwa kuielezea hiko kichwa vizuri lakini nitakifafanua vizuri hapa search engine nini search engine ni sehemu yeyote ile inayohiska kuhifadhia maelezo katika intaneti yani kuhifadhia online mfano w
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment