Tuesday, October 22, 2013

MSANII ALIYEKUWA ANATEMBEA NUSU UCHI HUKO NJE YA NCHI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfIqg2B7k9QtKCUgpgpuM3O5arDfShP-ijIlt4wy1GlSoW8ZQm5iIsDPgTyTAuHopREMiki9iYUintHX4aEABTOhuokG8JGYn2213-WKLHrBuYFTMzk_di_NnoDNDwwN3wNjJxa00qW0FX/s640/JACKDASTAN2.png

Saturday, October 19, 2013

MAMA NI MAMA TU

MPENDE MAMA UPATE BARAKA ZA DUNIANI MJARI NA NAKUMUHESHIMU MAMA YAKO

MUHIMU KWA WENYE BLOG WOTE

Habari... Kama Tulivyohaidigi kwa wengi kwamba tutawaonesha jinsi ya kufanya Blogs/Website zao ziweze kuonekana Google kwaurahisi basi tumeamua mafunzo haya tusitoe kwa watu wachache tuu bali tuitoe hewani ili iweze kuwa manufaa kwa bloggers wote.. Somo hili la leo kwa kiingereza linaitwa Search Engine Optimization (SEO) sasa sijui kwakiswahili tukifupisha tutaitaje..lol SEO nisomo pana sana tena sana ambalo kila blogger anahitaji kulijua.. usione blogs kama BONGOCLAN inatembelewa sana ukajiuliza inakuaje nayako haitembelewi hivyo.. Kipindi nilipokuwa na blog ya MOLLELPIXELS hivyi ndivyo nilivyokuwa ikitembelewa kwakila dakika.. Mafundisho haya nitayatoa kupitia mifano ya blog ya BONGOCLANTZna NYUMBAYAHABARI Sasa Tuanze somoletu rasmi kwakuangalia kipengele cha kwanza.. 1.SUBMIT YOUR BLOG TO SEARCH ENGINES Nimeshindwa kuielezea hiko kichwa vizuri lakini nitakifafanua vizuri hapa search engine nini search engine ni sehemu yeyote ile inayohiska kuhifadhia maelezo katika intaneti yani kuhifadhia online mfano w

KUPENDA KWELI MAJANGA

Kuna demu mm0ja kamaliza chuo keshe saa ndo kaja hapa tz na yupo hapa mtaa wa tatu...yani mzuri sijapata ona yani ukamwangalia kasura kaa ka mtoto iv.,kiuno kaa kichuguu kilichoota miaka kadhaa iliyopia na mguu wenyewe wa wine..hips utafikiri mashavu ya tom na jery dah anabamba sana pande iz.. Cha ajabu masela wamegoma kumpandia wanamw0gopa et mtoto wa kishua sana af et hawajui kiulaya dah mpaka akawa anajihisi hajakamilika...juzi npo zangu kibalazan nachat chat fb npo kitumbo nje mara nkaona toto hilo lapita dah kiukweli nilimfata hadi kene kona na nkapata sikia akimuuliza rafik ake kwamba amebuma hajapata boy na vile ana miaka hajakwea mnaz dah nilifurahi vibaya mn0 nkajua hapa kido nshapata ki2 kipo hewani ngoja nkakidabue.... Nilirudi fasta nyumbani nkamtegeshea bro kamsindikiza shem nkaingia chumban kwake nkachukua jeans lake la id na mtisheti wake hule mzuri kisha nkaangalia ustaharabu nkachukua beg lake la chuo nkapitia mlango wa nyuma fasta nkaelekea kwa msela wangu nkaazma laptop chini nka2pia supla

KUPENDA KWELI MAJANGA

Kuna demu mm0ja kamaliza chuo keshe saa ndo kaja hapa tz na yupo hapa mtaa wa tatu...yani mzuri sijapata ona yani ukamwangalia kasura kaa ka mtoto iv.,kiuno kaa kichuguu kilichoota miaka kadhaa iliyopia na mguu wenyewe wa wine..hips utafikiri mashavu ya tom na jery dah anabamba sana pande iz.. Cha ajabu masela wamegoma kumpandia wanamw0gopa et mtoto wa kishua sana af et hawajui kiulaya dah mpaka akawa anajihisi hajakamilika...juzi npo zangu kibalazan nachat chat fb npo kitumbo nje mara nkaona toto hilo lapita dah kiukweli nilimfata hadi kene kona na nkapata sikia akimuuliza rafik ake kwamba amebuma hajapata boy na vile ana miaka hajakwea mnaz dah nilifurahi vibaya mn0 nkajua hapa kido nshapata ki2 kipo hewani ngoja nkakidabue.... Nilirudi fasta nyumbani nkamtegeshea bro kamsindikiza shem nkaingia chumban kwake nkachukua jeans lake la id na mtisheti wake hule mzuri kisha nkaangalia ustaharabu nkachukua beg lake la chuo nkapitia mlango wa nyuma fasta nkaelekea kwa msela wangu nkaazma laptop chini nka2pia supla

Friday, October 18, 2013

MAHUSIANO YA MAPENZI

Wasichana wanafunzi wananichanganyasana SWALI Anko mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapenda wasichana ambao ni wanafunzi. Nasema hili ni tatizo kwa sababu hisia zangu za mapenzi haziko kwa wasichana wa kawaida mtaani. Mimi Anko nikiwaona wasichana hasa wakiwa na sare yaani nachanganyikiwa kabisa. Naomba ushauri wako. JIBU Ushauri wangu wa kwanza ni kwamba acha kufanya mapenzi na wanafunzi ni hatari na hasa wale wenye umri mdogo kwani ikibainika adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela. Kuhusu kuchasnganyikiwa unapowaona, hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na kinasa hisia chako kulewa aidha udanganyifu kutoka kwa watu wako wa karibu au maumbileyaokukuvutia. Hapa ingekuwa vemakamaungepata muda unione ili nizungumze nawe uniambie,ili mwanamke akuvutie awe na sifa gain? Maana inawezekana kinachovuta hisia zako ni ‘matiti saa sita’ na sura za kitoto, hivyo huwezi kuwapenda wasichana ambao hawana sifa hizo mpaka utibiwe athari hiyo ya kisaikolojia. Lakini pia

TOA USHAURI WAKO

Natafuta njia ya kuachana naye SWALI Swali langu kwa Mshauri ni kwamba, mimi ni msichana ambaye nina mpenzi wangu niliyempa moyo wangu wote kwa kumwamini kuwa atakuwa mume wa maisha yangu. Lakini siku za hivi karibuni amebadilika, mara nyingi nimefuma meseji za mapenzi kwenye simu yake na wakati mwingine nimemuona laivu. Naumiasanalakini nashindwa kumuacha kwa sababu nampenda, mshauri nisaidie njia ya kumwacha mwanaume huyu ataniua bure. JIBU Kitaalamu mwanzo wa mapenzi huwa ni rahisi kuliko mwisho wake. Hii inatokana na ukweli kwamba mapenzi ni sawa na ulevi ambao mtu akiuzoea ni vigumu kuuacha kwa mara moja, ndiyo maana tunaona watu wanateswa lakini wanashindwa kuamua kuachana na wapenzi wao kwa sababukamahizo zako. Sasa ili mtu afikie uamuzi wa kuachana na mtu aliyekuwa nayekamampenzi kwa miaka mingi lazima ajue kanuni, vinginevyo moyo hautakubali.

MKE WA MTU ANAITAJI KUPEWA MIMBA

Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa. Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili. Binafsi mimi nina miaka 26.. Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?

Thursday, October 17, 2013

HATARI HATARI HATARI

MAMA WEMA SEPETU AMCHAPA MAKOFI DJ UKUMBINI KWA KUPIGA WIMBO WA DIAMOND...!! Like 0 MAMA wa Wema Sepetu, Mariam Sepetu juzikati alitoa kali ya mwaka baada ya kumvaa Dj na kutaka kumchapa vibao kisa kikiwa ni kupiga nyimbo za aliyekuwa ‘mkwe’ wake, Nasib Abdul ‘Diamond’. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni nyumbani kwa Mtangazaji wa Clouds TV na Redio, Zamaradi Mketema, Mbezi Beach jijini Dar kulikokuwa na ‘bethidei’ ya mwanaye aitwaye Russel. Wakati watu wakiendelea kuburudika, Dj aliweka wimbo wa Diamond wa Nimpende Nani ambapo ghafla mama Wema alionekana kuhamaki pale wimbo huo ulipofikia ile sehemu inayosema: ‘Usiwe kama Wema Sepetu, kila siku magazeti’. [image]Mara mama huyo akiwa amefura aliinuka na kwenda kwenye meza ya muziki na kuuzima kisha ‘kumuanzishia’ Dj huku akimchimba mkwara kuwa hataki kusikia nyimbo za Diamond popote pale anapokuwepo. “Hivi wewe Dj toka nifike ni nyimbo za Diamond, hakuna nyimbo nyingine? Nakuomba sehemu yoyote utakayoniona mimi usiweke nyimbo hizo, sawa… na hivi sasa badili wi

POLE POLE POLE POLE

Mwanamke mmoja wa Ilala jijini Dar es Salaam, Mwanahamisi Saidi amefariki dunia wakati akijiandaa kwenda kwa mumewe baada ya kufunga ndoa. Tukio hilo limesababisha sherehe ya harusi kugeuka kuwa msiba. Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea Jumapili iliyopita, muda ambao bibi harusi alitakiwa kuchukuliwa na mumewe Amani Hassan kwenda nyumbani kwake. Mwanahamisi aliaga dunia akiwa katika Hospitali ya Amana iliyoko Wilaya ya Ilala, baada ya kuugua ghafla. Akizungumza kwa majonzi, Hassan alisema kuwa alifunga ndoa kwa taratibu za Dini ya Kiislamu Ijumaa iliyopita katika msikiti ulioko Vingunguti jijini Dar es Salaam na kupanga kwenda kumchukua mkewe siku ya Jumapili. “Baada ya kufunga ndoa niliwaahidi ndugu wa mke wangu kuwa nitakwenda kumchukua mke wangu Jumapili kwa sababu upande wangu ulikuwa umeandaa sherehe iliyoanza Jumamosi na Jumapili ndio tulipanga kumaliza kwa kumchukua mwali wetu,” alieleza kwa masikitiko Hassan. Alisema alipigiwa simu na mdogo wa marehemu kuwa mkewe ameugua ghafla na hana nguvu na kwamb

TOA USHAURI WAKO KWA HILI

MKALI naomba share na watu wako ishu hii ili nipate ushauri ila FICHA BARUA PEPE KAMA KAWAIDA-INBOX KUNA MAMBO WADAU "Naitwa Vivian nipo chuo mwaka wa pili. Nna rafiki yangu mmoja ambaye nipo nae chuo ambaye ni family friend wetu maana parents wake na wangu wana ukaribu since muda mrefu kidogo. Huyo Baba wa best yangu aliwahi kunitokea kipindi cha nyuma na alikuwa akinipa zawadi za gharama sana ikiwemo laptop na simu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwangu chuoni ingawa rafiki yangu hajui kuhusiana na hilo. So ili kuzidisha ukaribu wa family zetu nikaona sikuona sababu ya kumnyima ila nilimuomba tufanye kwa siri sana ili tusije gundulika, na hadi leo tunaendeleza uhusiano wetu. Sasa juzi wakati nipo nae hotelini wakati amekwenda kuoga nikachunguza simu yake nikakuta picha za mama yangu akiwa kapiga nae faragha na jumbe nyingi za kimapenzi walizochat kupitia WhatsApp, Viber na sms. Kitendo cha Mama yangu kumsaliti baba yangu, na pia kutaka kunipokonya bwanaangu kimeniuma sana sio siri. Naomba mnishauri cha kufany

TAMBUA MAISHA YA WEMA SEPETU

SHOW YA WEMA SEPETU IMEANZA KUONEKANA KWA TV..!! KAMA UNATAKA KUMJUA WEMA NI NANI, TABIA YAKE, NA MAZURI NA MABAYA ANAYOFANYA BASI SOMA HAPA..!! Show ya TV ‘In my shoes’ ya mwigizaji Wema Sepetu kutoka bongo movie imeanza kuonyeshwa Eatv October 16 2013 ambapo Episode hii ya kwanza imeanza kwa kumuonyesha Wema kwanza akieleza yeye ni nani, anafanya nini, ni mtu wa aina gani na mengine kama hayo ambapo yafuatayo hapa chini ni maswali aliyoulizwa na kuyatolea majibu. Swali: Wema ni nani? Jibu: Wema Sepetu is a girl, i can say a Lady mwenye umri wa miaka 24 kutoka familia ya Isack Abraham Sepetu, a darling, a libra.. a girl who is very ambicious, i love my self… Swali: Siku yako ya kwanza shuleni ilikuaje? Wema: Siku ya kwanza tumeenda nikakutana na msichana flani hivi anaitwa Shubira nakumbuka mpaka leo, alikua rafiki yangu wa kwanza tulikutana shuleni nilikua na miaka minne… tumekaa nikaanza kulia kwa sababu ilikua sehemu mpya, mazingira mapya baada ya hapo tukazoea. Shule ilikua vipi kipindi unasoma?

MAMA DIAMOND KUINGILIA PENZI LA MWANAE

MAMA DIAMOND AINGILIA PENZI LA DIAMOND, WEMA MAMA mzazi wa mkali wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu. Habari za chini ya kapeti zilitonya kuwa baada ya kuambiwa na kuoneshwa picha za Diamond akiwa kimahaba na Wema alikuja juu akidai kuwa hamtaki Wema kwa kuwa anamkubali zaidi Penniel Mungilwa ‘Penny’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar wikiendi iliyopita, bi’mkubwa huyo alisema kuwa kwa sasa hafahamu chochote kuhusu Diamond kurudiana na Wema zaidi ya kusikia kwa watu na kuona picha katika mitandao ya kijamii. “Kuhusu Nasibu (Diamond) kurudiana na Wema, nasikia tu na kuoneshwa picha namsubiri Nasibu arudi kisha nikae naye ndipo nitatoa tamko,” alisema mzazi huyo. Mapaparazi wa Ijumaa Wikienda kadiri walivyozidi kumchimba mama mkwe huyo wa Wema ni jinsi gani anavyojisikia kuhusu tabia ya kubadilisha wanawake kama nguo, ikizingatiwa yeye ni

Wednesday, October 16, 2013

MAJIBU YA MWANAMKE AMBAYE AKUPENDi

haya ndo majibu yake; 1.Baby 2taongea badae,nnakazi nyng 2.Jamani honey ckuweza kupokea cmu nlikua kwenye kelele. 3.Sweety cna credit,that's why cjajibu sms yako. 4.tuko kwenye kikao ntakubip badae dia. 5.Cmu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia). 6.Nipo na baba yangu ucpge cmu. 7.Naumwa kesho ha2wezi kuonana. 8.nyumban kuna mgeni cwez kuja leo. 9.Nipo safarini ntakutafuta badae (kwa saut ya chini). 10.Yani ulivoniongezea salio 2 likakatwa coz nilikopa,ni'recharge tena dia (lazma uombe poo). UKIONA MAJIBU HAYA UJUE HUNA CHAKO!!! gOOD MORNING PEOPLE Just nownear Dar es Salaam

Monday, October 14, 2013

KUPENDA KWELI HATARI SANA

ebu chukua hii nimetoka zangu kwa mchizi wangu axubuhi kumwangalia maana jana alifanywa kitu mbaya kidogo kisa mwanamke basi nikawa namuuliza kwa nini umepigwa hadi umevunjwa mkono wangu BASI AKANIJIBU HIVI MCHIZI : Omy me yule mwanamke nampenda hata kama nimepigwa hivi na huyo braza yake sitoweza kumuacha bora hata aniue 2 nakwambia hivyo omy OMY : wangu xaxa mbona utaumia xana mbona wanawake wapo wengi tena wakali kila day wanaibuka tuu humu mtaani na mwanamke mwenyewe yule wakasoma uoni kama msala huo kaka MCHIZI : omy we fala eti nimekwambia siwezi kumuacha au unanionea wivu unataka kumchukua wewe toka home kwangu omy sitaki kukuona tena kumbe we boya 2 niaje na urafiki uishe au sio OMY : sio hivyo ila poa utanifuata one day na utapigika xana si unamcheki kaka ake mwenyewe bangi m2pu kichwani mule MCHIZI : toka omy niseje nikakuchoma kisu dogo au nikakuumiza NILISEPA DUUH BILA KUANGALIA NYUMA EBU NIAMBIE KUNA NENO BAYA KWELI NILIMWAMBIA PALE

WANAWAKE WA FACEBOOK JINSI WANAWATEKA WANAUME

Omy : mambo binti : poa nambie wewe omy : kwangu mzima xana 2 na ni amani kwa xana binti : omy me nashida ya elfu hamsini je unaweza nisaidia jamani mpenzi omy : mmmh sijakuelewa jamani unamaanisha wewe binti : nataka unipe 50000 maana chuo kwe2 bumu alijatoka omy : haya mamii chukua hii 51000 jamani mi na wewe tena ni kama pete na kidole binti : omy unautani me kweli nashida na iyo pesa maana nimefulia hata sina chakufanya mpenzi omy : ooh mpenzi tena majanga hayo wacha wewe binti : omy jamani si nimekupenda ghafla tu mwenzio ebu nawe kuwa serious basi omy : we we we we hatar iyo me ninae huwa ananionga yeye elfu za vocha kila day sasa wewe unataka nikuonge wewe tena mmmh BINTI : kumbe we mwanaume suruali 2 eti eeeh OMY : we je mwanamke sketi maana sikusomi unijui unakurupuka 2 nikupe 50000 elfu me nachimba BINTI : hata elfu 5000 mpenzi wangu omy nitumie tu KIMYA OMY KAINGIA MITINI HADI SAIVI SIJUI YUKO WAPI AU SIJUI KAENDA KUBOMOA KIBOX HAPANA JUA HIYO

Saturday, October 12, 2013

TAMBU JINSI YA KUMTEKA MWANAMKE

Mapenzi ya sasa yamejawa na tamaa sana ya pesa kwa hiyo hizi ndizo stage za kumteka mwanamke step 1: Kumpa vizawadi kila ifikapo wikieni,ukiwa hivyo utasababisha mpenzi wako hakuamini xana step 2 : kumtoa out ifikapo wikiend,hii ni hatua nzuri ya kumfanya mpenzi wako ajione mwenye bahati ya pekee sana step 3 : kumpa maneno matamu na malaini,mwanaume ukimwambia mwanamke maneno matamu xana hatajiona mwenye amani ktk moyo

Monday, October 7, 2013

omary hamis: MADHARA YA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO.

: MADHARA YA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO.: Wapo wanaotumia Midoli au vifaa maalum kwaajiri yakujichua au kupiga punyeto, vifaa hivi ni uke uliotengenezwa kwa muonekano wamaumbile ya sEX NA VINGINE VINGI...

Friday, July 19, 2013

OMARY HAMIS: HUYU MAMA KATOA KALI YA MWAKA........ANAOMBA USHAURI WENU...

OMARY HAMIS: HUYU MAMA KATOA KALI YA MWAKA........ANAOMBA USH...: NAOMBA USHAURI MIMI NI MWANAMKE MWENYE MIAKA 47 NIMETOKEA KUWA NA UHUSIANO NA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 18. KIUKWELI MIE NDO NILIYE MTONGOZA NAE AKAKUBALI KUTOKANA NA UWEZO WANGU WA KIFEDHA ...

Tuesday, July 16, 2013

mwanaume mmoja ang'atwa ktk sehemu nyetu

Ikiwa ni maajabu ya haina yake lakn ni kweli
imetokea huko nchini syria mwanaume mwenye miaka 35
atorewa nyeti na nyoka aliye kwenye sinki ya kukojolea

Monday, July 1, 2013

SALMA STYLE: Salma style: Sasa Barabara ya "Ocean Road" kuitwa ...

omaryhamis: Sasa Barabara ya "Ocean Road" kuitwa ...: Omary hamis: Sasa Barabara ya "Ocean Road" kuitwa "Barack Obama... : Barabara ya Ocean Road ambayo itabadilishwa jina na kuit...

Omary hamis: Video: Nicki Minaj na Ciara walivyotisha kwenye ju...

Omary hamis: Video: Nicki Minaj na Ciara walivyotisha kwenye ju...: Usiku wa jana huko Los Angeles Marekani zilitolewa tuzo zenye heshima kubwa duniani ‘BET Awards 2013’ ambapo Afrika mashariki iliwakil...

Mmiliki Wa Facebook Mark Zuckerberg Na Wafanyakazi...

Omary hamis: Mmiliki Wa Facebook Mark Zuckerberg Na Wafanyakazi...: Mmiliki wa mtandao wa kijamii Facebook CEO Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake waliozidi 700 katika matembezi ya kushe...

: Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Akuta...

: Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Akuta...: Omary hamis: Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Profesa Midori Uno, anayefundisha somo la kiswahili kwenye Chuo Kikuu...

OMARY HAMIS: MICHELLE OBAMA ATEMBELEA OFISI ZA WAMA FOUNDATION ...

Omary hamis: MICHELLE OBAMA ATEMBELEA OFISI ZA WAMA FOUNDATION ...: Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA  jioni hii...

CHECK ME ONLINE 0753106243,0713200778

CHECK ME ONLINE

barack obama hana umuhimu gani kuja Tanzania

barack obama hana umuhimu gani kuja Tanzania

Monday, June 24, 2013

omary hamis: WASHIRIKI WA BIG BROTHER WAZIDI KUUMBUKA....BINTI ...

: WASHIRIKI WA BIG BROTHER WAZIDI KUUMBUKA....BINTI ...: Hali  ni  mbaya  kwa  dada  zetu  walioko  ndani  ya  jumba  la  big  brother  baada  ya  washiriki  wawili  mfululizo  kuanikwa   na  ...

Saturday, June 22, 2013

omary hamis: Penzi la Sangoma lamchanganya msanii wa Bongo Movie.Amwemereka usiku kucha na Sangoma.

D'J: Penzi la Sangoma lamchanganya msanii wa Bongo Movie.Amwemereka usiku kucha na Sangoma.

OMARY HAMIS: NEW AUDIO: Viva Ft Burney Mc(Uganda) ,Willy Fololo...

: NEW AUDIO: Viva Ft Burney Mc(Uganda) ,Willy Fololo...: ......IMESUBIRIWA KWA HAMU SANA Hatimaye Mwali huyu hapa Ngoma ya Kimataifa ... New Music : East Africa Metaphor -Viva (Tz) ft Burney Mc(U...

omary hamis: TV DOCUMENTARY: MAN WITH 10ST TESTICLES

OMARY HAMIS: TV DOCUMENTARY: MAN WITH 10ST TESTICLES: Unsightly ... Wesley Warren Jr could hardly walk due to huge scrotum The extraordinary story of 49-year-old Las Vegas resident Wesley W...

: SERIKALI;Wilaya ya Muleba-Kupeleka umeme maeneo ya...

: SERIKALI;Wilaya ya Muleba-Kupeleka umeme maeneo ya...

: omary hamis: VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMB...

REPOTA OMARY HAMIS: VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMB...: Check hapa >> VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI

Friday, June 21, 2013

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ AKITUMBUIZA KATIKA KIPINDI CHA SPORAH SHOW ~

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ AKITUMBUIZA KATIKA KIPINDI CHA SPORAH SHOW ~

MAMBO AMBAYO MWANAMKE AKIFANYA HUPOTEZA HAMU YA MAPENZI KWA MWENZA WAKE..!!! ~

MAMBO AMBAYO MWANAMKE AKIFANYA HUPOTEZA HAMU YA MAPENZI KWA MWENZA WAKE..!!! ~

omary hamis: ITIZAME VIDEO MPYA YA SNURA-MAJANGA

omary hamis: ITIZAME VIDEO MPYA YA SNURA-MAJANGA

Kutokana Na Mienendo Yao Wasanii Hawa Sita Wametaj...

: Kutokana Na Mienendo Yao Wasanii Hawa Sita Wametaj...: Mastaa wanaotikisa dunia, akiwepo Miley Cyrus, mwanamama Kim Kardashian pia Chris Brown wametokea katika nafasi ya juu kabisa katika orod...

MAKAMPUNI YA SIMU YATAPANDISHA GHARAMA ZA MAWASILIANO IFIKAPO TAREHE MOJA MWEZI WA SABA

I : MAKAMPUNI YA SIMU YATAPANDISHA GHARAMA ZA MAWASILIANO IFIKAPO TAREHE MOJA MWEZI WA SABA MWAKA HUU

omary hamis Blog: Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My baby ( Official ...

Omary hamis Blog: Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My baby ( Official ...

MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com: BONDIA MTANZANIA THOMAS MASHALI AMGALAGAZA BERNAD ...

MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com: BONDIA MTANZANIA THOMAS MASHALI AMGALAGAZA BERNAD ...: Bondia Mtanzania Thomas Mashali kushoto akiwa amemgalagaza bondia Bernad Mackoliech na kwenda chini akimsubili ili amwendelezee kip...

OMARY HAMIS: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA TANGA ECONOMIC CORRIDOR SEZ

OMARY HAMIS: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA TANGA ECONOMIC CORRIDOR SEZ

omary hamis: #FAHAMU Kesi Iliyo Funguliwa Dhidi Ya Lionel Messi...

Omary hamis: #FAHAMU Kesi Iliyo Funguliwa Dhidi Ya Lionel Messi...: Mshambuliaji nyota wa ki-argentina Lionel Messi ameitwa mahakamani tarehe 17 ya September kwenda kujibu shitaka la kukwepam kodi nchini...

omary hamis: Washindi Wa 2013 NBA Championship Ndio Hawa.

OMARY HAMIS: Washindi Wa 2013 NBA Championship Ndio Hawa.: The Miami Heat have done it again.Yes ni game 7 Chini ya King Lebron James, Miami Heat imeondoka na Points 95 Kwa 88 za San Antonio Spurs. ...

Monday, June 10, 2013

OMARY HAMIS: NI WAZEE WA HIP-POP'S!!!PIA WAZEE WA MABUSINESS NA...

OMARY: NI WAZEE WA HIP-POP'S!!!PIA WAZEE WA MABUSINESS NA...: Siku hizi waimbaji hawaishii kuimba tu kama ndio maisha yao bali wengi wao wako na biashara tofauti sio kama zamani ilikuwa kuimba na kula b...

Wednesday, March 27, 2013

SPORTS IN BONGO: NESTA AONGEZA GAP BAINA YA SIMBA NA AZAM

SPORTS IN BONGO: NESTA AONGEZA GAP BAINA YA SIMBA NA AZAM: Mchezaji wa kagera sugar Amandus Nesta ameongeza tofauti (gap) ya pointi kati ya Azam inayoshika nafasi ya pili na Simba sc inayoshika nafas...

Sunday, March 17, 2013

Mama na Mwana: Siri ya kumfanya mwanao awe na akili: Ijue Dunia

Mama na Mwana: Siri ya kumfanya mwanao awe na akili: Ijue Dunia: Sio lazima uwe kama kina Jolie-Pitt ndo uwe unaweza kutembelea dunia hapana kuna njia nyingi za kuijua dunia. Hapa kinachomaanishwa ...

Thursday, March 14, 2013

Wednesday, March 13, 2013

This is omaryhamis: BREAKING NEWS:FIFA YAIFUNGIA TANZANIA

BREAKING NEWS:FIFA YAIFUNGIA TANZANIA: Taarifa zilizoingia hivi punde kutoka kwenye chanzo cha habari kutoka TFF ni kwamba shirikisho la kimataifa la soka duniani FIFA limeifungia TANZANIA kushiriki mechi za kmataifa...

Songea town: PAPA MPYA AMEKWISHAPATIKANA

: PAPA MPYA AMEKWISHAPATIKANA: Huu ni moshi mweupe ulio onekana kwenye dohani la Sistine Chapel ikiwa ni ishara ya kuwa papa mpya amekwisha chaguliwa

Tuesday, March 5, 2013

Friday, February 1, 2013

Thursday, January 31, 2013

Omary hamis......HARAKATI ZA BONGO: TIMBULO WA LEO WA KESHO AINGIA BONGO MOVIE

>>OMARY HAMis HARAKATI ZA BONGO: TIMBULO WA LEO WA KESHO AINGIA BONGO MOVIE: Moja ya picha ya Timbulo na Rose Ndauka wakiwa location Rose Ndauka Msanii wa bongo fleva Ally Timbulo maarufu kama Timbulo ivi sasa yupo kwenye alakati za kuingia bongo movie...

Omary hamis TZ: Dondoo za Hip Hop: Tofauti kati ya Rapper na MC (M...

>>: Dondoo za Hip Hop: Tofauti kati ya Rapper na MC (M...: Karibuni tena kwenye darasa huru la utamaduni wa Hip Hop, ikiwa ni juma la pili na toleo la pili la "Dondoo za Hip Hop" linalowasilishw...

Inawezekana !!!!!: 7 tips for working securely from wireless hot-spot...

Inawezekana !!!!!: 7 tips for working securely from wireless hot-spot...: 7 tips for working securely from wireless hot-spots... Wireless hotspots are changing the way people work. These wireless local ar...

Wednesday, January 30, 2013

Monday, January 21, 2013

OMARYHAMIS: Tanesco yalalamikiwa kuchafua mazingira ya jiji kw...

AMANI MASUE: Tanesco yalalamikiwa kuchafua mazingira ya jiji kw...: Pichani Juu na Chini ni Lundo la matawi ya miti yanayodaiwa kukatwa na Shirika la Umeme Tanesco nakuachwa chini ya kizagaa hovyo bila k...

OMARYHAMIS: COSMOS GROUP YAZINDUA JENGO JIPYA LA UHURU HEIGHTS...

AMANI MASUE: COSMOS GROUP YAZINDUA JENGO JIPYA LA UHURU HEIGHTS...: Muonekano wa Jengo la Uhuru Heights lililopo barabara ya Bibi Titi Mohammed liking'arisha jiji la Dar nyakati za usiku. Picha na Mo Blo...

Aje aje wadau wangu wa pande hii

OMARY HAMIS BLOG: BAFANA BAFANA ULIMI NJE KWA CAPE VERDE

OMARY HAMIS BLOG: BAFANA BAFANA ULIMI NJE KWA CAPE VERDE: JOHANNESBURG, Afrika Kusini WENYEJI Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafana Bafana juzi walianza vibaya michuano ya soka ya fainali ...

OMARY HAMIS BLOG: BILIONI 32 KUJENGA UWANJA WA KAUNDA

OMARY HAMIS BLOG: BILIONI 32 KUJENGA UWANJA WA KAUNDA: KLABU ya Yanga inatarajia kutumia sh. bilioni 32 kwa ajili ya kujenga uwanja wake mpya na wa kisasa katika makao makuu ya klabu hiyo mit...

Omaryhamis.blogspot.com: PICHA 10 ZA TANGA ALL STAR WAKATI WAKUFANYA WIMBO...bonge la wimbo

waweza kutembelea ukurasa wangu wa twitter.com@omaryhamis1: PICHA 10 ZA TANGA ALL STAR WAKATI WAKUFANYA WIMBO...: Baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva kutoka Tanga walikutana Tongwe Records Masaki ilikufanya wimbo kwa ajili ya Marehemu Sharo Milionea. Dan...

Omaryhamis the number 1 reporter: PICHA YA UTUPU YA VIDEO QWEEN WA KENYA.

waweza chati nami kupitia facebook.com/omary hamis: PICHA YA UTUPU YA VIDEO QWEEN WA KENYA.: Huyu ndio Kama Amber Rose wa Kenya anaitwa Huddah Monroe. Amejipatia umaarufu mkubwa kupitia video Vixen 'Nikama Video Model hapa Tanzania...

Omaryhamis : MAELEZO KAMILI KUHUSU PICHA YA RECHO,LINAH NA DIAMond.nakupa habari ambazo ni nyeti na vigumu kuzipata ...

Sammisago.com: MAELEZO KAMILI KUHUSU PICHA YA RECHO,LINAH NA DIAM...: Jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali me...

Omaryhamis: COVER LA WIMBO MPYA YA IZZO BIZNESS,UNATOKA JUMATA...

COVER LA WIMBO MPYA YA IZZO BIZNESS,UNATOKA JUMATA...: Kwenye Hi Joint ameshirikishwa Quickrocka Na Ngwair Inatwa "Ball Player"

Karibu ktk mapishi ya leo mchana

Leo ktk mapishi 2nahandaa ugali kwa dagaa nyasa na mboga ya majani "MATEMBELE"maandalizi katika upishi we2 wa ugali

OMARYHAMIS: AMERICA NEWS: OBAMA KUAPISHWA LEO

: AMERICA NEWS: OBAMA KUAPISHWA LEO: Rais Barack Obama wa Marekani anatarajiwa kuapishwa baadaye hii leo Jijini Washington DC kwa awamu ya pili. Maandalizi makubwa ...

OMARYHAMIS: Check Picha 5 za Mwanamke Mwenye Umbo Pana na nene dunia...

: Check Picha 5 za Mwanamke Mwenye Umbo Pana na nene...: FOL CLASSIC: Check Picha 5 za Mwanamke Mwenye Umbo Pana na nene Duniani.Hizo Hips sasa!

Sunday, January 20, 2013

Omaryhamis Blog: Messi, Ronaldo, Iniesta For Ballon d'Or

omary Blog: Messi, Ronaldo, Iniesta For Ballon d'Or: FIFA and France Football have announced that Lionel Messi, Andres Iniesta and Cristiano Ronaldo are the remaining three candida...

Friday, January 18, 2013

YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA NA MKONGWE WA HABARI OMARY HAMIS NINDI: KAMANDA WA POLICE MKOA WA RUVUMA AAMURU MCHAWI ALIyekamatwa arudishe kwao msumbiji...

YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA NA MKONGWE WA HABARI OMARY HAMIS NINDI: KAMANDA WA POLICE MKOA WA RUVUMA AAMURU MCHAWI ALI...: Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Deusdedit Kaizilege Nsimeki ametoa amri ya uchunguzi wa Mzee ambaye anasadikika alianguka na ndege ya kichawi alu maarufu kama ungo {kiparu}...

STAR LINK: LEO KITAANI NIMEKUTANA NA MANGWEA

>>OMARY STAR LINK: LEO KITAANI NIMEKUTANA NA MANGWEA: Katika pita pita zangu nilikutana na Albert Mangwea akiwa amepozi, Angalia kipande hiki cha video uone alikuwa na nani.

Omaryhamis-Sex, Relationships & Love: Uongo ktk mahusiano ya Kimapenzi!

-Sex, Relationships & Love: Uongo ktk mahusiano ya Kimapenzi!: Kuna hili swala la kuwaita wanaume wadanganyifu (waongo) na wanapenda kulaghau ili kupata kile wanachokitaka na cha kusikitisha hapa sio ba...

Omaryhamis-Sex, Relationships & Love: Jinsi ya kuita Utamu a.k.a Kilele ukiwa na mwenzi wako kitandani fuatilia ili upate kujua

-Sex, Relationships & Love: Jinsi ya kuita Utamu a.k.a Kilele a.k.a O a.k.a......: Kama ambavyo wengi tunatambua kuwa sehemu kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia ngono ni Mapenzi ya kweli juu ya mpenzi wako ikisaidiwa na utundu binafsi ...

Bonge la show: CHECK OUT: KALA JEREMIAH NA WASANI WALIVYOPIGA SHOW na kubamba mbaya...

omary hamis: CHECK OUT: KALA JEREMIAH NA WASANI WALIVYOPIGA SHO...: Msanii wa Hip Hop maarufu kama Kala Jeremiah baada ya kutoka na album yake mpya inayofahamika kawa jina la Pasaka,sasa jana club ma...

Wednesday, January 16, 2013

Saturday, January 5, 2013